Nigeria: Watu wenye silaha wawaua 48 katika mashambulizi kaskazini magharibi
Mashambulizi mabaya zaidi yalikuwa katika kijiji cha Damri ambapo watu wenye silaha waliua watu 32 wakiwemo wagonjwa hospitalini,
Mashambulizi mabaya zaidi yalikuwa katika kijiji cha Damri ambapo watu wenye silaha waliua watu 32 wakiwemo wagonjwa hospitalini,
Taraba ni mojawapo ya majimbo kadhaa ya kaskazini yaliyoharibiwa na magenge ya wahalifu wa wezi wa mifugo wanaovamia vijiji, kuua wakazi na kupora nyumba pamoja na kuwateka nyara watu ili wadai fidia.