Sajili iliyochapishwa kutumika uchaguzi mkuu Kenya – Mahakama Kuu yaamuru
Jaji wa Mahakama Kuu Mugure Thande katika uamuzi wake ameishinikiza Tume ya Uchaguzi itumie sajili hiyo kama njia mbadala
Jaji wa Mahakama Kuu Mugure Thande katika uamuzi wake ameishinikiza Tume ya Uchaguzi itumie sajili hiyo kama njia mbadala
Mgombea wa Roots Party, nchini Kenya Profesa George Wajackoya ametofautiana na mgombea mwenza Justina Wamae kufuatia madai ya kuidhisha mgombea Raila Odinga kuibuka
Mkurugenzi Mtendaji wa sekretarieti ya urais ya Azimio, Raphael Tuju ameibuka na ufichuzi wa kushtua kwamba DP Ruto alilipwa mabilioni ili kuungana na Rais Kenyatta katika uchaguzi wa 2013.
Wanasiasa wamekuwa wakitoa kiasi kidogo cha pesa taslimu au vitu vingine kwa watu wanaojitokeza kwenye mikutano yao ya kampeni kabla ya kura ya Agosti 9
Naibu Rais wa Kenya William Ruto alikuwa peke yake kwenye mdahalo wa urais baada ya mpinzani wake mkuu kujiondoa mwishoni mwa juma
Odinga, 77, waziri mkuu wa zamani na Naibu Rais William Ruto, 55, ndio wagombea wakuu katika uchaguzi wa urais wa Agosti 9.
Takriban watu milioni 18 katika Pembe ya Afrika wanakabiliwa na njaa kali huku ukame mbaya zaidi kuwahi kutokea katika kipindi cha miaka 40 ukiathiri eneo hilo
Tume Huru ya uchaguzi na mipaka (IEBC) imelaani kukamatwa kwa maafisa watatu kutoka kwa kampuni inayosambaza mifumo ya kielektroniki ya kupigia kura kwa uchaguzi wa mwezi ujao.
Mjadala wa manaibu Rais utafanyika Jumanne, Julai 19 katika Chuo Kikuu cha Catholic University of East Africa (CUEA) huko Karen, Nairobi.
Aliyekuwa gavana wa Nairobi Mike Sonko amewasilisha rufaa katika Mahakama ya Afrika Mashariki kupinga uamuzi wa Mahakama ya Juu zaidi