Mashirika: Hatari ya njaa katika Pembe ya Afrika baada ya misimu minne ya mvua duni
Zaidi ya watu milioni 16.7 katika nchi hizo tatu wanakabiliwa na njaa kali huku idadi ikitarajiwa kuongezeka hadi milioni 20 ifikapo Septemba.