William Ruto ni maarufu zaidi katika eneo la Mlima Kenya – Utafiti wa Infotrak
Utafiti wa hivi punde zaidi wa Infotrak unaonyesha kuwa Naibu Rais William Ruto anaungwa mkono kwa wingi katika eneo la Mlima Kenya.
Utafiti wa hivi punde zaidi wa Infotrak unaonyesha kuwa Naibu Rais William Ruto anaungwa mkono kwa wingi katika eneo la Mlima Kenya.
Wagombea wanne wameidhinishwa kushiriki kinyang’anyiro cha kuwa rais wa Kenya, akiwemo naibu wa rais wa sasa William Ruto na Raila Odinga.
Mgombea urais wa muungano wa Azimio Raila Odinga Jumatatu alizundua manifesto yake yenye ahadi 10, akiahidi kuinua uchumi ndani ya siku 100 za uongpzi wake kama Rais wa Kenya.
Martha Karua huenda akawa naibu rais wa kwanza mwanamke katika historia ya Kenya, iwapo Muungano wa, Azimio la Umoja One Kenya, utashinda uchaguzi wa Agosti 9.
Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka imetangaza kwenye gazeti la serikali majina 38 ya wagombea urais wanaotaka kuwania kiti cha urais katika uchaguzi wa Agosti kama wagombea binafsi.
Mjumbe wa Kenya DR Congo, alikiri kumekuwa na “maoni hasi” baada ya matamshi ya Dkt Ruto kuhusu nchi hiyo kukosa uwezo wa kufuga ng’ombe wa maziwa.
Kauli ya tume ya uchaguzi inajiri baada ya Chege kudai kuwa chama cha Jubilee kilishinda uchaguzi mkuu wa 2017 baada ya kuiba kura