William Ruto declared 5th President of Kenya
The Independent Electoral and Boundaries Commission (IEBC) chairman Wafula Chebukati on Monday 15th August declared William Ruto as the 5th President of Kenya.
The Independent Electoral and Boundaries Commission (IEBC) chairman Wafula Chebukati on Monday 15th August declared William Ruto as the 5th President of Kenya.
Mwenyekiti wa Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) Wafula Chebukati alisema Ruto amepata takriban kura milioni 7.18 (asilimia 50.49) katika kura ya Agosti 9, dhidi ya milioni 6.94 (asilimia 48.85) za mpinzani wake Raila Odinga.
Mteule huyu anatarajiwa kuapishwa baada ya siku 14 ambapo atapokea kijiti cha uongozi wakati ambapo nchi ina hali mbaya ya kiuchumi
Uchaguzi wa mwaka wa 2022 wa Kenya ulivutia idadi kubwa ya wanasiasa vijana wengi wakibwagwa huku wengine wakiwalambisha sakafu vigogo wa kisiasa.
Top leadership positions in the county have been dominated by women, resulting in sheer excitement across the country.
Idadi ya wanwake waliochaguliwa magavana nchini Kenya imeongezeka maradufu kutoka watatu mwaka wa 2017 hadi saba mwaka huu wa 2022
Kenyan World and Olympic 1500m champion Faith Kipyegon arguably produced the stand-out performance of an amazing night of track and field in…
Taarifa iliyotolewa na msemaji wa Katibu Mkuu Stéphane Dujarric kutoka New York nchini Marekani imesema, Katibu Mkuu anatambua kazi muhimu iliyofanywa na mamlaka ya Kenya pamoja na mashirika mengi yote yanayohusika na usimamizi wa uchaguzi, ushirikishwaji wa wadau mbalimbali wa kitaifa na dhamira ya dhati isiyoyumbishwa ya wapiga kura kutekeleza haki yao ya kikatiba ya kupiga kura.
Wakenya, ambao baadhi yao walijipanga kabla ya alfajiri kupiga kura hapo jana, walipiga kura katika chaguzi sita na kumchagua rais mpya pamoja na maseneta, magavana, wabunge, wawakilishi wanawake na baadhi ya maafisa 1,500 wa kaunti.
Zaidi ya watu milioni 22, takriban asilimia 40 kati yao wakiwa chini ya umri wa miaka 35, wamejiandikisha kupiga kura katika uchaguzi huu uliokumbwa na hali ya kuongezeka kwa mfumuko wa bei, ukame unaoadhibu na kutoridhika na wasomi wa kisiasa.