Atumia sumu ya panya kujiua baada ya mke kumkataa
Mkazi wa Bariadi mkoani Shinyanga, amekutwa amekufa baada ya kunywa sumu ya panya siku moja baada ya kuachwa na mke wake