DR Congo: Ubelgiji imerudisha jino la Patrice Lumumba kwa familia yake
Mkosoaji mkali wa utawala wa kikatili wa Ubelgiji, Lumumba alikua waziri mkuu wa kwanza wa nchi yake baada ya DR Congo kupata uhuru wake mwaka 1960.
Mkosoaji mkali wa utawala wa kikatili wa Ubelgiji, Lumumba alikua waziri mkuu wa kwanza wa nchi yake baada ya DR Congo kupata uhuru wake mwaka 1960.
Ziara ya Mflame Philippe nchini DR Congo ilikuwa ya kwanza tangu kutawazwa mwaka wa 2013
Mfalme huyo atafanya ziara ya siku sita inadaiwa kuwa nafasi ya maridhiano baada ya ukatili uliofanywa chini ya utawala wa kikoloni wa Ubelgiji.