Wagombea 98 wajiandikisha kuwania kiti cha urais Libya
Zaidi ya watu milioni 2.8 kati ya watu milioni saba wa Libya wamejiandikisha kupiga kura.
Zaidi ya watu milioni 2.8 kati ya watu milioni saba wa Libya wamejiandikisha kupiga kura.
Baraza la wazee wenye ushawishi mkubwa kutoka Misrata limetoa wito wa kususia uchaguzi.