Kenya: Itifaki yavunjwa ,Ruto akosa kuwahutubia wakenya katika sherehe za madaraka
Uhuru, ambaye pia ni mlezi katika Muungano wa Azimio La Umoja One Kenya amemtaja Raila kama mtu bora zaidi kumrithi, kwa kile naibu wake Ruto amekitaja kuwa usaliti.