Zaidi ya watoto milioni moja wa Kiafrika wapata chanjo ya kwanza ya malaria
Takriban asilimia 90 ya visa vya malaria duniani vimerekodiwa barani Afrika, ambapo watoto 260,000 hufa kutokana na ugonjwa huo kila mwaka.