Dereva maarufu wa safari rally wa Kenya afunguliwa mashataka ya kushambulia
Dereva wa safari rally nchini Kenya Maxine Wahome, alishtakiwa kwa shambulio siku ya Jumatano kufuatia kisa kilichomhusisha mpenzi wake na dereva mwenzake Asad Khan