Kenya: Sonko awasilisha kesi katika mahakama ya EAC kupinga uamuzi wa Mahakama ya Juu
Aliyekuwa gavana wa Nairobi Mike Sonko amewasilisha rufaa katika Mahakama ya Afrika Mashariki kupinga uamuzi wa Mahakama ya Juu zaidi