Tanzania yataja ugonjwa wa ajabu kuwa ni ‘homa ya panya’
Waziri wa Afya Ummy Mwalimu ambaye alitembelea eneo hilo alisema ugonjwa huo unasababishwa na bakteria ambao huenea kupitia maji au chakula kilichochafuliwa na mkojo wa wanyama.