Aliyekuwa Miss USA Cheslie Kryst amefariki dunia baada ya kuruka kutoka ghorofa ya 60 ya jengo
Saa chache kabla ya kifo chake, Kryst aliandika kwenye mtandao “natumai hii siku itakuletea pumziko na amani.”