Bunge la Somalia lamuidhinisha Waziri Mkuu mpya
Barre, mbunge kutoka jimbo linalojitawala la Jubaland alichaguliwa mapema mwezi huu na Rais Hassan Sheikh Mohamud
Barre, mbunge kutoka jimbo linalojitawala la Jubaland alichaguliwa mapema mwezi huu na Rais Hassan Sheikh Mohamud
Mohamud, alikuwa rais kutoka 2012-2017, aliapishwa muda mfupi baada ya kura kuhesabiwa.
Uchaguzi huo umecheleweshwa kwa mwaka mmoja na umekumbwa na ghasia mbaya na mzozo wa kuwania madaraka kati ya Rais Mohamed Abdullahi Mohamed, na Waziri Mkuu Mohamed Hussein Roble.