Bunge la Somalia lamuidhinisha Waziri Mkuu mpya
Barre, mbunge kutoka jimbo linalojitawala la Jubaland alichaguliwa mapema mwezi huu na Rais Hassan Sheikh Mohamud
Barre, mbunge kutoka jimbo linalojitawala la Jubaland alichaguliwa mapema mwezi huu na Rais Hassan Sheikh Mohamud
Uchaguzi huo umecheleweshwa kwa mwaka mmoja na umekumbwa na ghasia mbaya na mzozo wa kuwania madaraka kati ya Rais Mohamed Abdullahi Mohamed, na Waziri Mkuu Mohamed Hussein Roble.
Uchaguzi wa wabunge wa ngazi ya chini na wa juu ulipaswa kukamilishwa kabla ya muhula wa Rais Mohamed Abdullahi Mohamed kukamilika Februari 2021.