Rais wa Somalia amemteua mbunge Hamza Abdi Barre kuwa Waziri Mkuu
Mbunge huyo mwenye umri wa miaka 48 kutoka jimbo linalojitawala la Jubaland anachukua nafasi ya Mohamed Hussein Roble
Mbunge huyo mwenye umri wa miaka 48 kutoka jimbo linalojitawala la Jubaland anachukua nafasi ya Mohamed Hussein Roble
Taifa hilo la Pembe ya Afrika limeshuhudia mashambulizi mengi katika wiki za hivi karibuni huku likipitia mchakato wa uchaguzi uliochelewa kwa muda mrefu.
Mgogoro huo wa uchaguzi umezua mzozo mkali wa madaraka kati ya Roble na Rais Mohamed Abdullahi Mohamed
Mzozo wa mpaka kati ya Kenya na Somalia umekuwa kiini cha hali tete ya kiplomasia kati ya mataifa hayo mawili kwa zaidi ya miongo minne.