Wahamiaji wa Melilla huenda walikufa kwa ‘kukosa hewa’: uchunguzi wa Morocco
Takriban wahamiaji 23 ambao walikufa mwezi uliopita katika jaribio la kuingia katika eneo la Uhispania la Melilla kutoka Morocco huenda “walikosa hewa,’ shirika la kutetea haki za binadamu la CNDH lilisema.