Mwendesha mashtaka wa Chad ataka viongozi wa upinzani wafungwe kifungo cha miaka 2 jela
Maandamano yaliyoidhinishwa mnamo dhidi ya uwepo wa jeshi la Ufaransa nchini Chad yaligeuka kuwa ya vurugu. Vituo vya mafuta vya kampuni ya Ufaransa ya Total vilishambuliwa