Mgombea urais wa Nigeria Peter Obi kupinga uchaguzi mahakamani
Uchaguzi wa Nigeria mara nyingi umekuwa na madai ya udanganyifu na ghasia
Uchaguzi wa Nigeria mara nyingi umekuwa na madai ya udanganyifu na ghasia
Atiku Abubakar, mwenye umri wa miaka 75, Muislamu wa kaskazini na mwanasiasa wa chama cha People’s Democratic Party au PDP, amewania mara kadhaa tiketi ya urais wa nchi hiyo