Maandamano yaendelea kaskazini mwa Nigeria baada ya tukio jipya la kukufuru
Maandamano yalifanyika siku chache baada ya mwanamke mwingine kushutumiwa kwa kukufuru na kuuawa na kundi la watu katika jimbo la Sokoto.