Polisi wa Uganda wathibitisha kukamatwa kwa mwandishi na wanahabari wanane
Tumuhimbise, ambaye anaongoza vuguvugu la The Alternative Movement na jukwaa la mtandaoni la Alternative Digitalk, alitarajiwa kuzindua kitabu cha kumkosoa Rais Yoweri Museveni mnamo Machi 30.