Uganda yawakamata wanane waliokuwa wakiandamana kupinga gharama za maisha
Mfumuko wa bei za vyakula uliongezeka zaidi ya mara mbili hadi asilimia 13.1 mwezi Mei, kulingana na takwimu za hivi punde za serikali.

Kizza Besigye is described as a sharp critic of President Yoweri Museveni’s 35-year rule.