Mahakama yaidhinisha kifungo cha miaka 25 kwa shujaa wa ‘Hotel Rwanda’
Mahakama ya Rufaa ya Rwanda Jumatatu ilipitisha hukumu ya kifungo cha miaka 25 jela dhidi ya shujaa wa ‘Hotel Rwanda’ Paul Rusesabagina.
Mahakama ya Rufaa ya Rwanda Jumatatu ilipitisha hukumu ya kifungo cha miaka 25 jela dhidi ya shujaa wa ‘Hotel Rwanda’ Paul Rusesabagina.
Waendesha mashtaka wa serikali walikuwa wamekata rufaa dhidi ya hukumu ya awali, wakisema adhabu dhidi ya Paul Rusesabagina ni ndogo na inapaswa kuongezwa hadi kifungo cha maisha.
Nyota wa filamu ya “Hotel Rwanda” Paul Rusesabagina amepatikana na hatia ya ugaidi.