Uganda yaweka tarehe ya kusikilizwa kwa kesi ya mwandishi Kakwenza Rukirabashaija
Rukirabashaija alisema vifaa vya chuma vilitumika kumsababishia majeruhi. Alidai kudungwa sindano ya kitu kisichojulikana mara kadhaa kinyume na matakwa yake.
Rukirabashaija alisema vifaa vya chuma vilitumika kumsababishia majeruhi. Alidai kudungwa sindano ya kitu kisichojulikana mara kadhaa kinyume na matakwa yake.
Kakwenza Rukirabashaija ameshtakiwa kwa makosa mawili ya “mawasiliano ya kukera” na kuwekwa rumande hadi Januari 21
Rukirabashaija ni mkosoaji mkubwa wa serikali ya Rais Yoweri Museveni,Rukirabashaija ni mkosoaji mkubwa wa serikali ya Rais Yoweri Museveni, alipata sifa kwa riwaya yake ya kejeli ya mwaka 2020, “The Greedy Barbarian” ambayo inaelezea ufisadi wa hali ya juu katika nchi ya kubuni.