Nigeria: Upinzani umemtaja aliyekuwa Makamu wa Rais kuwa mgombea wa uchaguzi wa 2023
Atiku Abubakar, mwenye umri wa miaka 75, Muislamu wa kaskazini na mwanasiasa wa chama cha People’s Democratic Party au PDP, amewania mara kadhaa tiketi ya urais wa nchi hiyo