Waziri Mkuu wa Italia yupo nchini Algeria akitafuta gesi ili kupunguza utegemezi wa Urusi
Waziri Mkuu wa Italia Mario Draghi aliwasili Algeria huku Roma ikiongeza juhudi za kupunguza utegemezi wake mkubwa wa gesi ya Urusi.