Rais Macky Sall aitunuku timu ya Senegal $87,000 pesa taslimu na ardhi baada ya kushinda AFCON
Teranga Lions iliishinda Misri kwa mabao 4-2 katika mikwaju ya penalti katika fainali iliyochezwa Jumapili nchini Cameroon.