Tulimlipa Ruto mabilioni kumuunga mkono Rais Kenyatta, Tuju afichua
Mkurugenzi Mtendaji wa sekretarieti ya urais ya Azimio, Raphael Tuju ameibuka na ufichuzi wa kushtua kwamba DP Ruto alilipwa mabilioni ili kuungana na Rais Kenyatta katika uchaguzi wa 2013.