Kenya: William Ruto ashiriki mdahalo wa wagombea urais, Raila asusia
Naibu Rais wa Kenya William Ruto alikuwa peke yake kwenye mdahalo wa urais baada ya mpinzani wake mkuu kujiondoa mwishoni mwa juma
Naibu Rais wa Kenya William Ruto alikuwa peke yake kwenye mdahalo wa urais baada ya mpinzani wake mkuu kujiondoa mwishoni mwa juma
Mjadala wa manaibu Rais utafanyika Jumanne, Julai 19 katika Chuo Kikuu cha Catholic University of East Africa (CUEA) huko Karen, Nairobi.