Kenya: Wafahamu wagombea wenza katika uchaguzi wa Agosti 9
Mjadala wa manaibu Rais utafanyika Jumanne, Julai 19 katika Chuo Kikuu cha Catholic University of East Africa (CUEA) huko Karen, Nairobi.