Kenya: Tume ya IEBC yaahirisha usikilizwaji wa kesi ya mwanasiasa Sabina Chege
Wakili Amollo alisema kuwa mteja wake ni mgonjwa na amelazwa katika Hospitali ya Nairobi ambako amekuwa akipokea matibabu
Wakili Amollo alisema kuwa mteja wake ni mgonjwa na amelazwa katika Hospitali ya Nairobi ambako amekuwa akipokea matibabu
Kauli ya tume ya uchaguzi inajiri baada ya Chege kudai kuwa chama cha Jubilee kilishinda uchaguzi mkuu wa 2017 baada ya kuiba kura