Rais mpya wa Sri Lanka, Ranil Wickremesinghe aapishwa
Waziri mkuu mara sita wa Sri Lanka Ranil Wickremesinghe aliapishwa Alhamisi kama rais wa Sri Lanka, akiwa na mipango ya kuunda serikali ya umoja ili kudhibiti machafuko hayo