Senegal yawakamata watatu kwa vifo vya watoto wachanga kwenye moto hospitalini
Mkasa huo ulikuwa wa hivi punde zaidi katika mfululizo wa matukio mabaya yaliyoangazia mapungufu katika mfumo wa afya wa Senegal.
Mkasa huo ulikuwa wa hivi punde zaidi katika mfululizo wa matukio mabaya yaliyoangazia mapungufu katika mfumo wa afya wa Senegal.
Rais wa Senegal Macky Sall amemfuta kazi waziri wake wa afya siku ya Alhamisi nchi hiyo ikiomboleza kifo cha watoto 11 katika moto uliosababishwa na hitilafu ya umeme hospitalini
Mkasa huo ulitokea katika Hospitali ya Mame Abdou Aziz Sy Dabakh mjini Tivaouane, na ulisababishwa na hililafu ya umeme kulingana na mwanasiasa Diop Sy.