Rais wa Senegal atangaza sikukuu ya kitaifa kusherehekea ushindi wa Kombe la AFCON
Ikiongozwa na nyota wa Liverpool, Sadio Mane, Senegal iliishinda Misri kwa mabao 4-2 katika mikwaju ya penalti