Waajiri wapewa siku saba kuwalipa wanahabari waliofariki kwenye ajali
Agizo hilo limetolewa leo wakati wa hafla ya kuaga na kutoa heshima za mwisho kwa waandishi watano na dereva wa ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Mwanza waliofariki dunia jana.

Watu 14 wamefariki dunia katika ajali ya gari iliyotokea mkoani Simiyu