Watoto wanaokufa wanaakisi hali mbaya ya ukame nchini Somalia
Mvua ilipokosa kunyesha kwa msimu wa nne mfululizo mwezi uliopita, mashirika ya misaada ya UN walionya kuwa njaa huenda ikakumba nchi za Somalia, Kenya na Ethiopia