Afrika Kusini: Polisi wachunguza vifo vya vijana 21 waliouawa kwenye baa
Serikali ya mkoa wa Eastern Cape ilisema wasichana wanane na wavulana 13 walifariki kwenye tavern, katika eneo la makazi linaloitwa Scenery Park.