AU inataka uchunguzi wa vifo vya Waafrika vilivyotokea katika mpaka wa Uhispania na Morocco ufanywe
Mkuu wa Tume ya Umoja wa Afrika ameelezea kushtushwa kwake na vitendo vya “vurugu na kudhalilishwa” kwa wahamiaji wa Kiafrika wanaojaribu kuvuka kutoka Morocco kwenda Uhispania baada ya watu 23 kufariki