Kenya: Mfanyabiashara na mwanasiasa Stanley Livondo afika mbele ya DCI
Mfanyabiashara Stanley Livondo, amesisitiza madai ya kuwepo kwa njama ya mauaji dhidi ya Rais Uhuru Kenyatta.