Mbona mkuu wa jeshi la Sudan Abdel Fattah al-Burhan yuko vitani na naibu wake?
Mapigano nchini Sudan yalidumu kwa siku ya pili tarehe 16 Aprili baada ya mapigano makali kati ya majenerali hao waliokuwa wakitawala tangu mapinduzi ya mwaka 2021 yaliyoua watu 56 na kujeruhi karibu 600, jambo ambalo lilizua taharuki ya kimataifa