Waziri wa zamani wa Msumbiji ahukumiwa kifungo cha miaka 16 jela kwa ufisadi
Maria Helena Taipo, 60, mwanachama wa chama tawala cha FRELIMO ambaye aliongoza wizara ya Leba kutoka 2005 hadi 2014, alishtakiwa kwa ubadhirifu wa metical milioni 113 (dola milioni 1.7) za serikali