• Home
  • Politics
  • Business / Finance
  • Sports
  • Entertainment
  • Africa
  • East Africa
  • Home
  • Politics
  • Business / Finance
  • Sports
  • Entertainment
  • Africa
  • East Africa
X-twitter Youtube Tiktok Facebook-f Icon-instagram-1 Linkedin Telegram Whatsapp

Tag: Tanzania news

Tanzania kufanya marekebisho ya kodi kila baada ya miaka mitatu
Africa East Africa

Tanzania kufanya marekebisho ya kodi kila baada ya miaka mitatu

Asia GambaDecember 1, 2023December 1, 2023

Serikali ya Tanzania imeeleza kuwa itakuwa inafanya marekebisho ya kodi kila baada ya miaka mitatu ili kuwa na Sera ya kodi inayotabirika na kuwafanya wawekezaji kuweka mipango yenye ufanisi. 

Dola  milioni 29.3 kutumika kuboresha mchakato wa ukusanyaji data za elimu Tanzania
Africa East Africa

Dola  milioni 29.3 kutumika kuboresha mchakato wa ukusanyaji data za elimu Tanzania

Asia GambaDecember 1, 2023December 1, 2023

Mkataba huo umetiwa saini Jijini Dar es Salaam kati ya Katibu Mkuu Wizara ya Fedha ambaye pia ni Mlipaji Mkuu wa Serikali, Dkt. Natu El-maamry Mwamba, na Balozi wa Sweden nchini, Mhe. Charlotta Ozaki Marcias.

Mahakama ya Afrika Mashariki yatupilia mbali pingamizi la mradi wa bomba la mafuta
Africa East Africa

Mahakama ya Afrika Mashariki yatupilia mbali pingamizi la mradi wa bomba la mafuta

Asia GambaNovember 30, 2023November 30, 2023

Mahakama ya Afrika Mashariki  imetupilia mbali ombi la kutaka kusimamisha ujenzi wa bomba la mafuta ghafi lenye thamani ya $4bn (£3.1bn) kutoka Uganda hadi nchini Tanzania.

Aliyekuwa Naibu Waziri wa Katiba na Sheria nchini Tanzania, atuhumiwa kumfanyia ukatili mfanyakazi wake
Africa East Africa

Aliyekuwa Naibu Waziri wa Katiba na Sheria nchini Tanzania, atuhumiwa kumfanyia ukatili mfanyakazi wake

Asia GambaNovember 27, 2023November 27, 2023

Gekul ambaye ni Mbunge wa Chama cha Mapinduzi CCM, anatuhumiwa kutoa maelekezo kwa kundi la vijana wake kumwingizia chupa sehemu ya haja kubwa mfanyakazi wake, Hashim Ally au kumpiga risasi kwa madai kwamba alitumwa kimkakati kwenda kwenye hoteli yake ya Paleii Lake View Garden.

Tanzania yapiga hatua kupunguza vifo vya mama na mtoto
Africa East Africa

Tanzania yapiga hatua kupunguza vifo vya mama na mtoto

Asia GambaNovember 16, 2023November 16, 2023

Rais Mstaafu wa awamu ya nne Dkt. Jakaya Kikwete ameipongeza Serikali kwa kufanikiwa kupunguza vifo vya akinamama wajawazito kutoka vifo 556 556 mwaka 2016 hadi kufikia vifo 104 mwaka 2022. 

Waziri:Wanaomiliki silaha kinyume cha sheria wasakwe
Africa East Africa

Waziri:Wanaomiliki silaha kinyume cha sheria wasakwe

Asia GambaNovember 15, 2023November 15, 2023

Pia Waziri wa wizara hiyo, Hamad Masauni ameliagiza jeshi hilo litumie taarifa ilizonazo kuwatafuta na kuwakamata wanaojihusisha kutengeneza magobore na lifanye mapitio ya sheria na kanuni ili kuona kama iko haja ya kuzifanyia marekebisho. 

Rufaa ya Sabaya na wenzake yakwama kusikilizwa
Africa East Africa

Rufaa ya Sabaya na wenzake yakwama kusikilizwa

Asia GambaNovember 15, 2023November 15, 2023

Leo Novemba 15, 2023 mahakamani hapo mjibu rufaa mmoja ambaye ni Sabaya  pekee ndiye aliyekuwepo mahakamani, huku wajibu rufaa wenzake wawili wakidaiwa kuwa nje ya Arusha na wako njiani kurudi hivyo mahakama kuamua kuahirisha hadi Novemba  17,2023.

Tanzania yatajwa kuwa kwenye kiwango kizuri cha upatikanaji wa Chakula
Africa East Africa

Tanzania yatajwa kuwa kwenye kiwango kizuri cha upatikanaji wa Chakula

Asia GambaNovember 14, 2023November 14, 2023

Tanzania imetajwa kuwa kwenye kiwango kizuri cha upatikanaji wa chakula kutokana na kuwepo kwa takwimu sahihi za hali ya Maisha katika kaya, hali iliyopelekea kiwango cha umasikini wa chakula kushuka nchini. 

Whozu, Billnass na Mbosso wapunguziwa adhabu na BASATA
Entertainment

Whozu, Billnass na Mbosso wapunguziwa adhabu na BASATA

Asia GambaNovember 14, 2023July 5, 2024

Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) limewapunguzia adhabu wasanii wa bongofleva nchini Tanzania, Whozu, Billnass na Mbosso na kuwataka wasanii hao kulipa faini ili waweze kuruhusiwa kufanya kazi za sanaa.

Watu wawili wafa maji mkoani Pwani
Africa East Africa

Watu wawili wafa maji mkoani Pwani

Asia GambaNovember 14, 2023November 14, 2023

Matukio ya vifo hivyo yametokea kwa nyakati tofauti ikiwa ni sehemu ya madhara kufuatia mvua zinazoendelea kunyesha maeneo mbalimbali nchini.

Posts navigation

Older posts
Newer posts

Uncensored & Undaunted

Find Us Here

Facebook-f X-twitter Linkedin-in Youtube Instagram
  • Privacy Policy
  • Terms & Conditions
  • Privacy Policy
  • Terms & Conditions

Mwanzo Tv News 

All Rights Reserved © 2024

We use cookies to ensure that we give you the best experience on our website. If you continue to use this site we will assume that you are happy with it. Privacy policyOkNo