Wabunge wataka siku za likizo kuongezwa kwa wanaojifungua watoto njiti.
Serikali imewataka Wabunge kutoa maoni endapo kuna haja ya kurekebisha Kanuni za Utumishi wa Umma kuhusu likizo kwa wanawake wanaojifungua watoto njiti ili wapate muda wa kutosha wa kulea watoto hao wanaohitaji uangalizi wa karibu.