“Ondoka barani Afrika,” waandamanaji mjini Pretoria waiambia Ufaransa
Waandamanaji kutoka chama cha EFF Afrika Kusini waliandamana Jumatano hadi kwenye ubalozi wa Ufaransa mjini Pretoria kuitaka Ufaransa iondoke Afrika.