Trevor Noah aondoka ‘The Daily Show’ baada ya miaka 7
Mtangazaji wa kipindi cha ‘The Daily Show’ Trevor Noah ataondoka katika kipindi cha vichekesho cha kejeli baada ya miaka saba, bila kutoa ratiba ya kuondoka kwake.