Uingereza yaondoa vizuizi vya usafiri kwa mataifa yote ya Afrika
“kwa sasa kuweka vizuizi vya usafiri hakusadii kudhibiti kuenea kwa kirusi cha Omicron kutoka mataifa ya nje.” Waziri wa Afya wa Uingereza Sajid Javid