Tunisia: Idadi ya vifo imeongezeka hadi 24 baada ya boti nyingine kuzama
Takriban wahamiaji 2,000 walitoweka au kufariki katika bahari ya Mediterania mwaka jana, kutoka 1,400 mwaka uliopita, kulingana na Shirika la Kimataifa la Uhamiaji.