Wanajeshi wa Uganda na wa DR Congo washirikiana kukabiliana na waasi wa ADF
Rais wa Congo Felix Tshisekedi ameidhinisha wanajeshi wa Uganda kuingia DR Congo kusaidia kupambana na kundi la waasi la ADF
Rais wa Congo Felix Tshisekedi ameidhinisha wanajeshi wa Uganda kuingia DR Congo kusaidia kupambana na kundi la waasi la ADF
Mlipuaji wa kujitoa mhanga aliyejilipua katika makao makuu ya polisi ametambuliwa kama Mansoor Uthman,aliyejilipua barabara ya Parliamentary ametambuliwa kama Wanjusi abdallah.
Shambulio la bomu kwenye basi Jumatau lilitokea saa kadhaa baada ya kundi la Islamic State (IS) kudai kuhusika na shambulio jingine la bomu