More political storms for TikTok after US government ban
TikTok is the equivalent of “digital fentanyl,”, one of the leading voices in Congress against China, comparing the app to the deadly opioid.
TikTok is the equivalent of “digital fentanyl,”, one of the leading voices in Congress against China, comparing the app to the deadly opioid.
Takriban watu tisa walifariki katika msongamano wa watu waliokuwa wakisherehekea mwaka mpya katika mji mkuu wa Uganda siku ya Jumapili, polisi walisema
Wilaya mbili za kati katikati mwa mlipuko huo, Mubende na Kassanda, ziliwekwa chini ya kizuizi na Rais Yoweri Museveni mnamo Oktoba 15
Hii ilikuwa baada ya Dkt Besigye kukosa kufika kortini mnamo Desemba 14
Timu ya taifa ya kandanda ya Uganda, Cranes, imejiondoa katika michuano ya Mataifa ya Afrika kutokana na ukosefu wa fedha
Maafisa wa usalama wa Uganda wamezuilia boti nane za wavuvi, ambazo wamiliki wake raia wa Kenya walituhumiwa kwa kuingia katika Ziwa Victoria
Rais alisema sekta ndogo ya uvuvi inachangia asilimia nne kwenye Pato la Taifa (GDP) na ni ya pili kwa mauzo ya nje ya Uganda baada ya kahawa
Uganda will deploy around 1,000 soldiers in eastern Democratic Republic of Congo by the end of November under a regional force against M23 rebels
Polisi mjini Kampala wamemkamata mhadhiri wa chuo kikuu cha Makerere Bernard Wandera kwa tuhuma za kumpiga mwanafunzi kofi
Uteuzi wa Atwoli uliidhinishwa kwa kauli moja na zaidi ya wajumbe 2000 na kufungua njia kwa muhula wake wa miaka mine katika ITUC, ambayo ina makao yake makuu mjini Brussels, Ubelgiji.